Huduma za Kisheria kwa Wote
Huduma Yetu za Kisheria Zinazopatikana
Tunafanya utafiti wa huduma za kisheria zinazofaa kwa Wakazi wa mijini na Vijijini nchini Tanzania na ambazo ni rahisi kutumia na zenye ufanisi.



Taarifa za Kisheria
HakiAppTz inaweka taarifa muhimu za kisheria, ikiwemo sheria za kitaifa na sheria ndogo , ili kuwawezesha watumiaji kuelewa haki zao.
Upatikanaji wa taarifa sahihi za sheria na haki.
Rasilimali za Hati
Tumia HakiAppTz kupata mifano ya hati mbalimbali za kisheria, kusaidia katika mchakato wa kutengeneza na kuwasilisha nyaraka zinazohitajika.
Msaada wa kuandaa na kujipatia hati muhimu.

Chukua Hatua Leo



Uwasilishaji wa Kesi
Watumiaji wanaweza kuwasilisha kesi zao kwa njia ya mtandao, na kupata ushauri na mwongozo wa hatua ambazo zinahitajika katika mchakato huu.
Kuwezesha wateja kuwasilisha kesi zao kwa urahisi.
Msaada wa AI
Kwa kutumia teknolojia ya AI, HakiAppTz inatoa msaada wa papo kwa papo, kusaidia watumiaji kupata majibu ya maswali kuhusu sheria na haki zao.
Msaada wa kisheria kupitia chatbots.



Jiunge nasi katika safari ya haki
HakiAppTz inajitahidi kuboresha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa Watanazania wa vijijini ili kuhakiki haki na usawa.