Usaidizi wa Kisheria kwa Kutumia Teknolojia.
Safari ya HakiAppTz
HakiAppTz imeanzishwa ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa Msaada wa kisheria kwa wananchi wa tanzania haswa walioko vijijini, ikilenga kuongeza ufikiaji wa haki katika maeneo ya vijijini nchini Tanzania.
+
Uzoefu
Mwanzilishi wa HakiAppTz, ndugu Youngsaviour Msuya, ni wakili wa Kujitegemea mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika huduma za kisheria kwa jamii..
+
Wateja Wanaoshukuru
Kwa sasa Timu yetu ina wafuasi 10 wa kujitolea, wakiwa na utaalamu wa kutoa msaada wa kisheria.
Timu Yetu
Timu ya wanasheria na washauri wenye uzoefu wa kusaidia jamii zetu.